top of page

Ufunuo 4:10-11

  • wale wazee ishirini na wanne huanguka mbele zake yeye aketiye juu ya kiti cha enzi na kumwabudu yeye aliye hai hata milele na milele. Wanaweka taji zao mbele ya kiti cha ufalme na kusema: “Unastahili, Bwana na Mungu wetu, kupokea utukufu na heshima na uweza, kwa maana wewe uliumba vitu vyote, na kwa mapenzi yako viliumbwa navyo viweko.”’

Inaendeshwa na kulindwa na Wix

bottom of page