Zaburi 23:4
"Hata nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya; kwa maana wewe upo pamoja nami; gongo lako na fimbo yako vyanifariji.