Mika 1:3-4
Tazama, Bwana anakuja kutoka katika makao yake, anashuka na kukanyaga juu ya vilele vya dunia. Milima inayeyuka chini yake, na mabonde yanapasuka, kama nta mbele ya moto, kama maji yapitayo chini ya mteremko.