Mathayo 24:42-43Aya“Kesheni basi, kwa maana hamjui ni siku gani atakapokuja Bwana wenu. Lakini fahamuni neno hili: Kama mwenye nyumba angalijua ni saa ngapi za usiku mwizi atakuja, angalikaa macho, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.” Pakua4k Pakua Upakuaji wa Kichina (中)Pakua