Aya zetu za kila siku za kufanywa upya na kujengwa
Luka 22:19-20
Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema, Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.” Vivyo hivyo, baada ya kula akakitwaa kikombe, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.