Yohana 14:16-17AyaNami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili awe pamoja nanyi hata milele, huyo Roho wa kweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui. Bali ninyi mnamjua; anaishi pamoja nanyi na atakuwa[a] ndani yenu." Pakua4k Pakua Upakuaji wa Kichina (中)Pakua Upakuaji wa Kikorea (한)Pakua