Amosi 5:8
"Yeye aliyefanya Kilimia na Orioni, ageuzaye usiku wa manane kuwa mapambazuko, na giza mchana kuwa usiku, yeye ayaitaye maji ya bahari na kuyamwaga juu ya uso wa nchi; Bwana ndilo jina lake."